728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Friday, June 23, 2017

  SPIKA NDUGAI AKABIDHI VITABU VYA KUJIFUNZIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI WILAYANI KONGWA

   Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai akizungumza na wanafunzi wa Shule Secondari ya Banyibanyi iliyopo wilaya ya Kongwa Mkoa wa Dodoma, baada ya kuwapatia vitabu vilivyotolewa na Mtandao wa kuondoa umasikini.
   Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai akimkabidhi vitabu Makamu Mkuu wa Shule ya Sekondari Sejeli Ndg.Gerald Kagali ikiwa ni zawadi kwa Shule hiyo, Msaada uliotolewa na Mtandao wa kuondoa umasikini, tukio lililofanyika leo kijijini Mbande Wilayani Kongwa Mkoani Dodoma. Kushoto ni Mwenyekiti wa Mtandao huo Ndg. Mungwe Athman.
  Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai akiwa kwenye picha ya pamoja na wanafunzi wa Shule ya sekondari Banyibanyi  katika tukio lililofanyika leo Wilayani Kongwa Mkoani Dodoma.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: SPIKA NDUGAI AKABIDHI VITABU VYA KUJIFUNZIA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI WILAYANI KONGWA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top