728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Monday, June 5, 2017

  SAMSUNG WAJA NA STIKA MBILI KUTOKOMEZA BIDHAA FEKI NCHINI

  Balozi wa Samsung,Latifa Ally akitoa elimu kwa mteja kuhusu stika mbili zinazohusishwa na kampeni ya Samsung inayotarajiwa kuanza hivi karibuni stika hizo inayolenga kutokomeza bidhaa feki nchini.
  Mabalozi wa Samsung wakitoa burudani na kutoa elimu kwa wateja juu ya stika mbili zinazohusishwa na kampeni ya Samsung katika maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam.
  Mabalozi wa Samsung wakiwa katika picha ya pamoja.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: SAMSUNG WAJA NA STIKA MBILI KUTOKOMEZA BIDHAA FEKI NCHINI Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top