728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Tuesday, June 13, 2017

  RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA WAKUU WA MIKOA WOTE  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikutana na wakuu wa mikoa wote katika kikao kilichohudhuriwa pia na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, baadhi ya mawaziri na Mwanasheria Mkuu wa Serikali George Masaju Ikulu jijini Dar es salaam leo Juni 13, 2017


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA WAKUU WA MIKOA WOTE Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top