728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Sunday, June 11, 2017

  PROF. JUMMANE MAGHEMBE ATEMBELEA JAMII YA WAHADZABE, KABILA AMBALO BADO WANAISHI KWA KUWINDA NA KUCHUMA VYAKULA BILA UZALISHAJI

  Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jummane Maghembe akishuhudia jamii ya Wahadzabe wakitengeneza chakula cha mchana ambao ni unga utokanao na ubuyu. Kabila la Wahadzabe ni moja ya jamii za wawindaji na wakusanyaji wanaopatikana Tanzania ambao chakula chao kikuu ni nyama, matunda, mizizi na asali
  Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jummane Maghembe akionja unga wa ubuyu ambao ndiyo chakula maarufu cha jamii ya Wahadzabe.
  Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jummane Maghembe akipewa maelezo kuhusu nyumba maarufu za jamii ya Wahadzabe
  Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jummane Maghembe akipewa maelezo ya matumizi ya mshale katika jamii ya Wahadzabe
  Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jummane Maghembe akichezewa ngoma maarufu ya jamii ya Wahadzabe ambayo huchezwa wakati wakimpokea Mgeni mwenye hadhi katika jamii.
  Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jummane Maghembe akisaini kitabu cha Wageni mara alipowasilia katika kijiji cha Yaeda chini wilayani Mbulu mkoani Manyara.
  Mkurugenzi wa Rasilimali Misitu wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS)Bw. Zawadi Mbwambo (katikati) akisikiliza kwa makini risala iliyosomwa na Wawakilishi wa Jamii ya Wahadzabe kwa Mgeni rasmi
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: PROF. JUMMANE MAGHEMBE ATEMBELEA JAMII YA WAHADZABE, KABILA AMBALO BADO WANAISHI KWA KUWINDA NA KUCHUMA VYAKULA BILA UZALISHAJI Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top