728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Saturday, June 24, 2017

  OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YAKUTANA NA WADAU WAKE IKIWA NI SEHEMU YA MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA.

   Mkurugenzi wa Shughuli za Kitakwimu Irenius Ruyobya wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) akizungumza na wadau  wa takwimu wakati wa kikao cha kupokea maoni na ushauri kwa ajili ya kuboresha huduma zinazotolewa na ofisi hiyo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma iliyomalizika jana tarehe 23 Juni, 2017.
   Mdau wa Takwimu kutoka REPOA akitoa maoni yake wakati wa  kikao cha kupokea maoni na ushauri kwa ajili ya kuboresha huduma zinazotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma iliyomalizika jana tarehe 23 Juni, 2017.
   Baadhi ya Wadau wa Takwimu kutoka Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika (EASTC) wakimsikiliza Mkurugenzi wa Shughuli za Kitakwimu Irenius Ruyobya wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (hayupo pichani) wakati wa  kikao cha kupokea maoni na ushauri kwa ajili ya kuboresha huduma zinazotolewa na ofisi hiyo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma iliyomalizika jana tarehe 23 Juni, 2017.
  Baadhi ya Wadau wa Takwimu waliohudhuria kikao cha kupokea maoni na ushauri kwa ajili ya kuboresha huduma zinazotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma iliyomalizika jana tarehe 23 Juni, 2017.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YAKUTANA NA WADAU WAKE IKIWA NI SEHEMU YA MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA. Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top