728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Saturday, June 24, 2017

  NAIBU MEYA ILALA OMARY KUMBILAMOTO ;AFUTURISHA KATIKA KIJIJI CHA KAUZENI WILAYA YA KISARAWE

   Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala na Diwani wa Vingunguti ,Omary Kumbilamoto akizungumza wakati akiwakaribisha wakazi wa kijiji cha Kauzeni Wilaya ya Kisarawe  katika Dua na futari aliyoiandaa kwa ajili ya wana kijiji hao katika kipindi cha mwezi hu mtukufu wa Ramdhani
   Bondia wa Zamani na Bingwa wa Dunia katika uzito wa kati ,Rashid Matumla akizungumza na wakazi wa kijiji cha Kauzeni kabla ya futari  iliyoandaliw ana Naibu Meya wa Manispaa Ilala.
   Mmoja wa wakazi wa Kijiji cha Kauzeni akisoma majina wakati wa Dua ya kuwasomea ndugu zao waliotangulia mebele ya haki
   Wazee na viongozi wa dini wa kijiji cha Kauzeni Wilayani Kisarawe wakioma dua kabla ya futari iliyoandaliwa na Naibu Meya wa jiji Omary Kumbilamoto
   Sehemu ya Wanakijiji wa kijiji cha Kauzeni wakipata futari ya pamoja na iliyoandaliw ana Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: NAIBU MEYA ILALA OMARY KUMBILAMOTO ;AFUTURISHA KATIKA KIJIJI CHA KAUZENI WILAYA YA KISARAWE Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top