728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Saturday, June 17, 2017

  MKUU WA MKOA ATOA MILIONI TATU KWA AJILI YA MRADI WA KUKU KWA WALEVU WA NGOZI

  Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Dkt Bilinith Mahenge ametoa shilingi milioni tatu, ili kusaidia kikundi cha watu wenye ulemavu wa ngozi na macho albino cha wilaya ya songea, kwa ajili ya kuanzisha mradi wa ufugaji wa kuku wa nyama. Akikabidhi kiasi hicho cha fedha mkuu wa mkoa amewaka wanakikundi hao kutimiza malengo ili waweze kuwasaidia hata watu wengine wenye matatizo mbalimbali.hbari kamili hii hapa video yake.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MKUU WA MKOA ATOA MILIONI TATU KWA AJILI YA MRADI WA KUKU KWA WALEVU WA NGOZI Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top