728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Sunday, June 25, 2017

  MKAKATI WA KUKABILIANA NA CHANGAMOTO ZA MATUMIZI BORA YA ARDHI WAKAMILISHWA.

  Kaimu Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi(NLUP) Dkt.Stephen Nindi akizungumza kwa ufupi hatua iliyofika kabla ya kwenda kukabidhi rasimu hiyo katika vyombo vya juu
  Mkurugenzi msaidizi nyanda za malisho kutoka wizara ya kilimo na Mifugo Bw. Victor Mwita(Kulia) ambaye alikuwa mwenyekiti wakati wa shughuli hiyo, akitoa mwongozo wa baadhi ya mambo.
  Baadhi ya watumishi Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi(NLUP) wakiwa wanafuatilia kwa makini majadiliano hayo wakiwa mkoani Morogoro.
  Mmoja wa wajumbe wa kikosi kazi hicho akichangia jambo wakati wa mjadala
  Bi. Amina Ndiko kutoka Shirika la kimataifa la Oxfam nchini Tanzania akitoa neno la shukurani mara baada ya kukamilisha zoezi la kukamilisha mkakati wa kukabiliana na changamoto za matumizi bora ya ardhi.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MKAKATI WA KUKABILIANA NA CHANGAMOTO ZA MATUMIZI BORA YA ARDHI WAKAMILISHWA. Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top