728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Thursday, June 15, 2017

  MANISPAA YA KINONDONI YATAKA BILIONI 4 ZILIZOPO KWENYE AKUNTI ZA KATA ZITUMIKE KWENYE MIRADI ILIYOKUSUDIWA


  Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni ,Benjamini Sitta akizungumza wakati wa kikao cha baraza la Madiwani katika ukumbi wa Manispa hiyo Magomeni jijini Dar es Salaam leo
  Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni ,Aron Kangurumjuli aakizungumza wakati wa kikao cha Baraza la Madiwani.

  Diwani wa Kata ya Magomeni ,Julian Bujugo akichangaia katika Mkutano wa Baraza la Madiwani Kinondoni  Afisa Utumishi wa Manispaa ya Kinondoni, Anna Mwakasyesye akijibu hoja za Madiwani wa Manispaa ya Kinondoni katika kikao cha baraza


  Sehemu ya Madiwani walioshiriki katika kikao cha Baraza la Madiwani la Manispaa ya KINONDONI  Diwani wa Kata ya Kunduchi kwa tiketi ya Chma cha Mapinduzi ,Michael Urio akichangia hoja katika kikao cha Baraza la Madiwani kilichofanyika katika ukumbi wa Manispaa hiyo Magomeni jijini Dar es Salaam  Diwani wa kata ya Mwananyamala , Songoro Mnyonge akichangia mada katika kikao cha Baraza la Madiwani kilichofanyika katika ukumbi wa Manispaa hiyo Magomeni jijini Dar es Salaam


  Mchumi wa Manispaa ya Kinondoni Eugene Haruna akijibu hoja za madiwani katika kikao cha baraza la Madiwani wa Manispaa ya KINONDONI


  Mkuu wa kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi(PMU manispaa ya Kinondoni akijibu hoja za Madiwani wa Manispaa hiyo
  Diwani wa kata ya Ndugumbi Manispaa ya Kinondoni ,Thadey Massawe akichangia hoja katika kikao cha Baraza la Madiwani wa Manispaa ya Kinondoni.
  Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni ,Benjamini Sitta akijadili jambo na Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni ,Aron Kangurumjuli katika kikao cha Baraza la Madiwan

  Diwani wa Viti Maalum CHADEMA ,Caroline Kazinza akichangia hoja katika kikao cha Baraza la Madiwani wa Manispaa ya Kinondoni.


  Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii

  Baraza la Madiwani la Manispaa ya Kinondoni limeagiza kuhakikisha fedha zote zilizopo katika akaunti za kata zaidi ya Bilioni 4.9 zifanyiwe utaratibu wa manunuzi hili ziweze kutekeleza miradi iliyokusudiwa katika kata hizo.

  Maazimio hayo yamefikiwa katika baraza la Madiwani wa Manispaa hiyo lililongozwa na Mstahiki Meya wa Manispaa hiyo ,Benjamini Sitta na kumuagiza .

  Aidha baraza hilo pia limeridhia maombi ya kamati ya Fedha kwa kutaka kubuni vyanzo vipya fedha vitakavyosaidia Halmashauri hiyo kupta fedha zaidi licha ya baadhi ya vyanzo kuahamia serikali kuu.

  pia kikao hicho kilipitisha azimio la kumpongeza Rais John Pombe Magufuli kwa kitendo chake cha kizalendo cha kuhakikisha kuwa fedha za watanzania zilikuwa zinapotea kutokana na mchanga wa Madini uliokuwa ukisafirishwa nje kiholela unapangiwa utaratibu wa kunufaisha Serikali.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MANISPAA YA KINONDONI YATAKA BILIONI 4 ZILIZOPO KWENYE AKUNTI ZA KATA ZITUMIKE KWENYE MIRADI ILIYOKUSUDIWA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top