728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Thursday, June 15, 2017

  Mamlaka ya Mapato ya Tanzania yatumia Tehama kuboresha utoaji wa huduma zake kwa umma

  Serikali Mtandao inarahisisha utendaji kazi na utoaji wa huduma kwa umma. Usikose kuangalia kipindi hiki cha Seikali Mtandao katika Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) uone jinsi wanavyotumia mifumo mbalimbali ya TEHAMA katika kazi zao za kila siku.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Mamlaka ya Mapato ya Tanzania yatumia Tehama kuboresha utoaji wa huduma zake kwa umma Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top