728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Thursday, June 8, 2017

  Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan amjulia hali Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali David Msuguri

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amemtembelea na kumjulia hali Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali David Msuguri nyumbani kwake Butiama.
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasalimia wananchi wa wilaya ya Bunda waliojitokeza barabarani kumsalimu akitokea Butiama kuelekea jijini Mwanza
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwaaga baadhi ya Wananchi wa wilaya ya Bunda waliojitokeza barabarani kumsalimu akitokea Butiama kuelekea jijini Mwanza
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan amjulia hali Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali David Msuguri Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top