728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, June 7, 2017

  Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akutana na Mbunge wa jimbo la Serengeti

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu akisalimiana na Mbunge wa Jimbo la Serengeti Mhe. Marwa Ryoba Chacha wakati wa ziara yake katika wilaya ya Serengeti, Mbunge huyo alimwambia Makamu wa Rais kuwa jimboni kwake wanafanya kazi kwa kushirikiana na Serikali bila kujali itikadi za vyama.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akutana na Mbunge wa jimbo la Serengeti Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top