728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Friday, June 2, 2017

  MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR BALOZI SEIF ALI IDD.

   Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amekutana na kufanya mazungumzo na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idd , Ikulu jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais).
  Picha ya pamoja
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR BALOZI SEIF ALI IDD. Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top