728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Monday, June 5, 2017

  MAKAMU WA RAIS AFUNGA KONGAMANO LA KITAIFA LA MAZINGIRA MKOANI MARA

  unnamed
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati wa kufunga Kongamano la Kitaifa la Mazingira lililofanyika kwenye ukumbi wa kanisa Katoliki, Mwitongo Butiama. 
  1
  Mama Maria Nyerere akichangia maoni yake wakati wa kufunga Kongamano la Taifa la Mazingira lililofanyika Mwitongo Butiama kwenye kilele cha Siku ya Mazingira Duniani ambayo kitaifa imeadhimishwa Butiama mkoani Mara. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MAKAMU WA RAIS AFUNGA KONGAMANO LA KITAIFA LA MAZINGIRA MKOANI MARA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top