728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Sunday, June 11, 2017

  MAJAMBAZI YAJERUHI WATU 9 NA KUPORA ZAIDI YA MILIONI 81 IRINGA

  WATU tisa wamejeruhiwa na majambazi baada ya kuvamia machimbo mapya ya dhahabu yaliyopo katika kijiji cha Nyakivangala, Isimani wilayani Iringa mkoani Iringa na kupora zaidi ya Sh Milioni 81, dhahabu zaidi ya gramu 400, na baadhi ya mali za wafanyabiashara katika eneo. Akizungumza na wanahabari, Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Iringa, Richard Kasesela anasema tukio hilo lililitokea majira ya saa nne usiku juzi.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MAJAMBAZI YAJERUHI WATU 9 NA KUPORA ZAIDI YA MILIONI 81 IRINGA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top