728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Monday, June 5, 2017

  MAALIM SEIF AFUTURU NA WAKAZI WA VINGUNGUTI JIJINI DAR ES SALAAM

   Katibu  mkuu wa Chama cha Wananchi CUF ,Maalim Seif Sharif Hamad  akiwasili katika eneo la Vingunguti
    Katibu  mkuu wa Chama cha Wananchi CUF ,Maalim Seif Sharif Hamad akiwa ameketi kwenye kiti wakati alipojumuika kwenye futari na wakazi wa Vingunguti
   katibu mkuu maalim Seif Sharif Hamad akiwa amejumuika na  wakazi wa vingunguti katika futari katika kipindi hiki cha mwezi mtukufu wa Ramadhani .
  katibu mkuu maalim Seif Sharif Hamad alijumuika na wakazi wa vingunguti katik futari  na wakazi wa vingunguti
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MAALIM SEIF AFUTURU NA WAKAZI WA VINGUNGUTI JIJINI DAR ES SALAAM Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top