728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Thursday, June 22, 2017

  KUMEKUCHA MAANDALIZI YA SIKUKUU YA EID KARIAKOO MAPEMA LEO

  --
   Mmoja wa wakazi wa jiji la Dar es Salaam akiwa amempakia mwanawe katika baiskeli huku wakifanya Manunuzi ya vitu kadhaa kwa ajili ya maandalizi ya sikuu ya Eid  El Fitri kama walivyokutwa na Camera yetu katika mtaa wa Congo Soko Kuu la Kariakoo jijini Dar es Salaam
   Mchuuzi wa miwani na Saa za watoto akimajribisah mmoja ya mtoto aliyeongozana na Baba yake kufnya manunuzi katika soko kuu la Kariakoo jijini Dar es Salaam
   Wanawake wakichagua nguo za watoto wao wa kike ambazo zimemwagwa chini katika barabara ya mtaa wa Congo, katika soko kuu la jijini Dar es Salaam kwa ajili ya maandalizi ya sikuu ya Eid el Fitri
   Mzazi akimjaribisha nguo mtoto wake wa kiume kutoka kwa wamachinga wa soko la Kariakoo kwa ajili ya maandalizi ya sikuu ya Eid el Fitri
   Wanawake wakiwa wanachgua  viatu vya kuvaa  kwa ajili ya maandalizi ya sikuu ya Eid el Fitri
  Sehemu ya umatai wa watu uliofurika katika mtaa wa Congo katika soko kuu la Kariakoo jijini Dar es Salaam
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: KUMEKUCHA MAANDALIZI YA SIKUKUU YA EID KARIAKOO MAPEMA LEO Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top