728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Friday, June 23, 2017

  KATIBU MKUU WA CCM APIGA MARUFUKU WAGOMBEA KUUZIWA FOMU.

  Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana amepiga marufuku uuzaji wa fomu za uchaguzi kwa ngazi zote za uongozi ndani ya Chama.

  Taarifa iliyosainiwa na Naibu Katibu Mkuu Bara Ndugu Rodrick Mpogolo kwenda kwa Makatibu Wakuu wa Jumuiya imeeleza kuwa kwa mwanachama yeyote aliyeuziwa fomu arejeshewe pesa yake.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: KATIBU MKUU WA CCM APIGA MARUFUKU WAGOMBEA KUUZIWA FOMU. Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top