728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, June 21, 2017

  KATIBU MKUU OFISI YA MAKAMU WA RAS AKUTANA NA WATUMISHI WA OFISI -KITUO CHA DAR ES SALAAM

  Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Utawala Ofisi ya Makamu wa Rais, Samuel Mwashamba akimkaribisha Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais ili azungumze na Watumishi wa Ofisi ikiwa ni maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma.
  Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais  Profesa Faustin Kamuzora (katikati) akiongea wakati wa mkutano wake na Watumishi wa Ofisi yake walioko Dar Es Salaam, ikiwa ni maadhimisho ya wiki ya Utumishi wa Umma.
  Mmoja wa Watumishi wa Ofisi ya Makamu wa Rais Bwana Aidan Mtuhi akichangia maoni yake wakati wa Mkutano huo.
  Sehemu ya Watumishi wa Ofisi ya Makamu wa Rais waliohudhuria Mkutano huo wakimsikiliza Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (hayupo pichani).
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: KATIBU MKUU OFISI YA MAKAMU WA RAS AKUTANA NA WATUMISHI WA OFISI -KITUO CHA DAR ES SALAAM Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top