728x90 AdSpace

 • Habari za hivi Punde

  Monday, June 26, 2017

  Kampuni ya Tigo yafuturisha watoto wa kituo cha yatima cha Umra Magomeni

  Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya Tigo wakiwa kwenye foleni kushiriki futari pamoja na watoto wa kituo cha Umra Orphanage kilichopo Magomeni Jijini Dar es Salaam
  Watoto wa kituo cha Umra Orphanage kilichopo Magomeni wakipata futari iliyoandaliwa na kampuni ya Tigo mwishoni mwa wiki iliyopita jijini Dar Es Salaam.
  Watoto wa kituo cha Umra Orphanage kilichopo Magomeni wakiwa katika foleni kupata futari iliyoandaliwa na kampuni ya Tigo mwishoni mwa wiki iliyopita jijini Dar Es Salaam.
  Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya Tigo wakiwa kwenye foleni kushiriki futari pamoja na watoto wa kituo cha Umra Orphanage kilichopo Magomeni Jijini Dar es Salaam
  Watoto wa kituo cha Umra Orphanage kilichopo Magomeni wakipata futari iliyoandaliwa na kampuni ya Tigo mwishoni mwa wiki iliyopita jijini Dar Es Salaam.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Kampuni ya Tigo yafuturisha watoto wa kituo cha yatima cha Umra Magomeni Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top