728x90 AdSpace

 • Habari za hivi Punde

  Tuesday, June 20, 2017

  HAKI ELIMU YAZINDUA KAMPENI YA KUMUWEZESHA MTOTO WA KIKE APATE ELIMU

  Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Haki Elimu Nchini , John Kalaghe akizungumza na Waandishi wa Habari wakati wa uzinduzi wa kampeni ya kuondoa Vikwazo kwa Mtoto wa Kike katika hafla iliyofanyika katika ofsi za Tasisi hiyo Upanga jijini Dar es Salaam,Kampeni hiyo itasaidia kuongeza uelewa kwa jamii kumpa fursa msichana hili aweze kupata mafanikio na kufikia maelengo yake
  Msemaji kutoka TGNP, Grace Kisetu akichangia jambo wakati wa uzinduzi wa kampeni ya ondoa Vikwazo asome iliyofnyika katika ukumbi wa Haki Elimu Upanga Jijini Dar es Salaam.

  Sehemu ya Waandishi waliohudhuria kampeni ya ondoa Vikwazo asome iliyozinduliwa na Tasisi ya Haki elmu kwa kushilikiakana na mashirika mbalimbali ya za kijamii

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: HAKI ELIMU YAZINDUA KAMPENI YA KUMUWEZESHA MTOTO WA KIKE APATE ELIMU Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top