728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Thursday, June 29, 2017

  DKT KIGWANGALLA AFUNGUA MKUTANO WA TANO WA MADAKTARI NA WANASAYANSI WA SIKU MBILI JIJINI DAR ES SALAAM

  Naibu Waziri wa Afya ,Maendeleo ya Jamii Jinsia Watoto na Wazee, Dk Khamisi Kigwangalla akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano wa tano wa Madaktari uliofanyika katika ukumbi wa Kisenga Makumbusho jijini Dar es Salaam .
  Sehemu ya madaktari na wanasayansi walioshiriki mkutano huo ambao unajadili masuala mbalimbali ya tiba katika bara la Afrika na hapa nchini 
  Naibu Waziri wa Afya ,Maendeleo ya Jamii Jinsia Watoto na Wazee, Dkt Khamisi Kigwangalla akikagua maonyesho ya Dawa yaliyopo nje ya mkutano huo
  Sehemu ya madaktari na Wanasayansi walioshiriki mkutano huo ambao unajadili masula mbalimbali ya tiba katika bara la afrika na hapa nchini
  Naibu Waziri wa Afya ,Maendeleo ya Jamii Jinsia Watoto na Wazee, Dk Khamisi Kigwangalla akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa meza kuu na washirika wa Maendeleo nchini
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: DKT KIGWANGALLA AFUNGUA MKUTANO WA TANO WA MADAKTARI NA WANASAYANSI WA SIKU MBILI JIJINI DAR ES SALAAM Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top