728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Thursday, June 1, 2017

  Castle Lite Unlocks Navy Kenzo crew kuwa ni kundi la wasanii wa ndani ambao watapanda jukwaa moja na Cassper Nyovest, Diamond na Future Julai 22/2017


  Meneja Masoko wa Bia laini Afrika Mashariki, Amou Majok (wa pili kushoto) akiwa pamoja na wasanii wa kundi la Navy Kenzo juzi jijini Dar, wakati Meneja huyo akitangaza kuhusu wasanii wa kundi hilo kushiriki katika tamasha la Castle Lite Unlocks litakalofanyika mwezi Julai. Wa kwanza kulia ni Meneja Msaidizi wa Chapa ya Bia laini, Isaria Kilewo.
  Wadau mbalimbali waliojitokeza wakiwa katika picha ya pamoja
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Castle Lite Unlocks Navy Kenzo crew kuwa ni kundi la wasanii wa ndani ambao watapanda jukwaa moja na Cassper Nyovest, Diamond na Future Julai 22/2017 Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top