728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Thursday, June 15, 2017

  Balozi wa Sweden atembelea Wizara ya Mambo ya Nje

  Mheshimiwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Augustine Mahiga (Kulia)akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Sweden Nchini Mhe. Katarina Rangnitt katika ukumbi wa Wizara Juni 14,2017. Katika mkutano huo walijadiliana masuala mbalimbali kuhusu ushirikiano wa Tanzania na Sweden pamoja na hali ya usalama nchini Burundi.
  Mheshimiwa Waziri Mahiga, Balozi wa Sweden nchini pamoja na Wataalam kutoka Wizarani wakiwa katika mkutano huo,
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Balozi wa Sweden atembelea Wizara ya Mambo ya Nje Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top