728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, June 14, 2017

  BALOZI PINDI CHANA AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO

  Balozi wa Tanzania nchini Kenya, Mhe. Dkt. Pindi Hazara Chana akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Kenya, Mhe. Uhuru Kenyatta kabla ya kuwasilisha Hati za Utambulisho kwenye Ikulu ya Eldoret Juni 13,2017. 
  Balozi wa Tanzania nchini Kenya, Mhe. Dkt. Pindi Hazara Chana wa pili kutoka kushoto akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Kenya (katikati) mara baada ya zoezi la kuwasilisha Hati za Utambulisho kukamilika.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: BALOZI PINDI CHANA AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top