728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Monday, May 15, 2017

  Yara yatoa huduma ya upimaji udongo bure

  Wakulima wa maembe na mbogamboga Mkuranga, wakipewa elimu jinsi ya kuchukua udongo. 
   
  Yara Tanzania Ltd, imewekeza katika maabara ya kupima udongo ili kuweza kutambua virutubisho vilivyopo na vinavyokosekana kwenye udogo. Mara baada ya matokeo ya udongo kampuni hiyo kupitia wataalamu wake walio bobea kwenye sekta hiyo, hutoa ushauri kwa wakulima nini cha kufanya kulingana na zao lililolimwa au linalotarajiwa kulimwa. 

  Afisa ugani wa kampuni hiyo Bw. Maulid Mkima, alisema "lengo kuu la kampuni ya Yara Tanzania kuweka maabara ya udongo,ni kuweza kuwapa wateja wao huduma nzuri na mpangilio sahihi wa lishe bora na linganifu ya mimea"
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Yara yatoa huduma ya upimaji udongo bure Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top