728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Thursday, May 25, 2017

  YANGA WATINGA BUNGENI NA KOMBE LAO

  Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2016/17 Yanga wametembelea Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania  Mkoani Dodoma ikiwa ni katika ziara yao ya kuelekea Mkoani Arusha kwa ajili ya kulitembeza kombe.

  Yanga waliofanikiwa kulichukua kombe hilo kwa mara ya tatu mfululizo ikiwa ni mara ya 27 toka kuanz akwa Ligi Kuu Nchini, mabinhwa hao waliambatana namsafara wa viongozi ukiongozwa na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji Salum Mkemi pampja na benchi la Ufundi.
   Baadhi ya wabunge wakiwa wamelibeba kombe wakionekana kufurahi leo Mkoani  Dodoma.
  Baadhi ya wabunge, wachezaji na viongozi wa Yanga wakiwa katika picha ya pamoja leo Mkoani  Dodoma.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: YANGA WATINGA BUNGENI NA KOMBE LAO Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top