728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, May 31, 2017

  WAZIRI WA ARDHI AFUNGUA SEMINA YA WANACHAMA WA CHAMA CHA WAPIMA ARDHI TANZANIA.

  Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mheshimiwa William Lukuvi (katikati waliokaa) akipiga picha ya pamoja na wanachama wa chama cha wapima Ardhi Tanzania, baada ya kumaliza semina iliyofanyika jana katika hoteli ya Morena Mjini Dodoma.
  Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mheshimiwa William Lukuvi (wa pili kulia) akisisitiza jambo wakati akifungua semina ya wanachama wa chama cha wapima Ardhi Tanzania, iliyofanyika jana katika hoteli ya Morena Mjini Dodoma.
  Wanachama wa chama cha wapima ardhi Tanzania wakifwatilia semina iliyoendelea leo katika hoteli ya Morena Mjini Dodoma.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: WAZIRI WA ARDHI AFUNGUA SEMINA YA WANACHAMA WA CHAMA CHA WAPIMA ARDHI TANZANIA. Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top