728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Friday, May 19, 2017

  WASANII NYOTA SABA KUTOKA CHINA NA WAPIGA PICHA 100 WATAMBELEA TRENI YA TAZARA LEO

  --
   Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii nchini Jaji Thomas Mihayo akizungumza katika mkutano mfupi uliofanyika katika Stesheni ya Tazara jijini Dar es Salaam
   Baadhi ya Wasanii hao Nyota wakiwasili katika  Stesheni ya TAZARA Jijini Dar es Salaam
   aziri wa Habari Utalii Utamaduni na Michezo Zanzibar Mhe Rashid Ali Juma akizungumza  wakati wa kuwakaribisha wasanii hao nyota kutoka nchini China
   Muongoazaji wa filamu ya siri za familia akitoa Salamu za Wasanii hapa nchini
   Wasanii hao Nyota wakiwa wameketi kwa pamoja  wakati wa mkutano
   Wasanii hao  ikawakiwa katika kurekodi sehemu ya vipindi vitakavyorushwa katika cheneli za nchini China
   Baadhi ya watali hao wakiwa wamekaa katika Vibalaza vya Stesheni ya Tazara
   Wasani wa filamu nchini wakibadilishana mawasiliano na muongozaji wa kundi la wapiga picha na waandishi kutoka nchini China
   Muwakilishi wa kabila la Wadzabe akionyesha namna ya kutumia upinde kwa wasani nyota kutoka nchini China
   Sehemu ya wapiga picha waliongozana na Wasanii hao nyota kutoka nchini China
   Mmoja wa wapiga picha kutoka nchini China akirekodi wakati treni lilipo fanya ruti fupi mpaka Yombo na kurudi
   Sehemu ya Wasanii nyota wakiwa ndani ya treni
   Kundi la Wasaniihao na wapiga picha wakiwa ndani ya Treni ya Tazara wakirekodi kipindi na kufanya majadiliano


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: WASANII NYOTA SABA KUTOKA CHINA NA WAPIGA PICHA 100 WATAMBELEA TRENI YA TAZARA LEO Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top