728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Friday, May 12, 2017

  WADAU WAOMBWA KUICHANGIA TIMU YA KIKAPU YA VIJANA U-16 INAYOJIANDAA KUSHIRIKI MICHUANO YA 2016 ZONE 5 MOMBASA KENYA

   Kaimu Katibu Mkuu Shirikisho la Mpira wa Kikapu Tanzania (TBF) Michael Mwita akizungumza na waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam leo kuhusu kuwaomba wadau kuichangia shilingi milioni 30 kwa timu ya Vijana U-16 wa mchezo ikiwa ni ghalama ya kwenda kushiriki mashindano ya 2016 Zone 5 Mombasa Kenya.
  Kocha wa Timu ya Taifa ya Mchezo wa kikapu chini ya umri wa miaka 16, Bahati Mgunda akizungumza na waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam leo alipokuwa akielezea programu nzima ya maandalizi ya hiyo inayojiandaa kwenda kushiriki mashindano ya 2016 Zone 5 Mombasa Kenya. Picha na Emmanuel Massaka, Globu ya jamii.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: WADAU WAOMBWA KUICHANGIA TIMU YA KIKAPU YA VIJANA U-16 INAYOJIANDAA KUSHIRIKI MICHUANO YA 2016 ZONE 5 MOMBASA KENYA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top