728x90 AdSpace

 • Habari za hivi Punde

  Monday, May 22, 2017

  UJENZI WA JENGO LA MAKAO MAKUU YA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU UNAENDELEA MKOANI DODOMA

  Menejimenti ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) ikikagua ujenzi wa jengo la Makao Makuu ya ofisi hiyo wakati wa ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa jengo hilo iliyofanyika hivi karibuni mkoani Dodoma. Ujezi wa jengo hilo unatarajia kumalizika mwanzoni mwa mwaka 2018.

  Taswira ya ujenzi wa jengo la Makao Makuu ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) mkoani Dodoma. Ujezi wa jengo hilo unatarajia kumalizika mwanzoni mwa mwaka 2018.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: UJENZI WA JENGO LA MAKAO MAKUU YA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU UNAENDELEA MKOANI DODOMA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top