728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Monday, May 29, 2017

  TAZAMA LIVE TUKIO LA KUAPISHWA KWA IGP MPYA IKULU JIJINI DAR.


  Usikose kutazama matangazo ya moja kwa moja ya kuapishwa kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Simon Sirro kutoka Ikulu Jijini Dar es Salaam. Matangazo haya yatarushwa hewani kuanzia saa 3:30 asubuhu hii kupitia TBC, AZAM TV na ITV. Pia yatapatikana kupitia tovuti rasmi ya Ikulu ambayo ni www.ikulu.go.tz (tembelea tovuti hiyo kupitia simu ya mkononi, computer, tablet ama kifaa chochote cha mtandao)
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: TAZAMA LIVE TUKIO LA KUAPISHWA KWA IGP MPYA IKULU JIJINI DAR. Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top