728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Monday, May 15, 2017

  TAASISI YA KARIMJEE JIVANJE YAMKABIDHI KITABU CHA HISTORIA KWA JAJI MKUU NA RAIS WA MAHAKAMA KUU YA KENYA, DAVID MARAGA MJINI NAIROBI

  Meneja Mkuu taasisi ya Karimjee Jivanje, Bi. Devotha Rubama akiwasilisha kitabu cha Historia cha Taasisi ya Karimjee Jivanje kwa Mhe. Jaji Mkuu na Rais wa Mahakama kuu ya Kenya, David Maraga EGH katika Taasisi ya Asia na Maonyesho ya Stawisha Maisha mjini Nairobi Mei 12-14. Nyuma ni Mwenyekiti wa Chandaria Foundation na mmiliki wa Aluminium Africa, Bw. Manu Chandaria.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: TAASISI YA KARIMJEE JIVANJE YAMKABIDHI KITABU CHA HISTORIA KWA JAJI MKUU NA RAIS WA MAHAKAMA KUU YA KENYA, DAVID MARAGA MJINI NAIROBI Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top