728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, May 24, 2017

  SPIKA MHE. JOB NDUGAI ATEMBELEA BUNGE LA KENYA

   Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job akipokea zawadi kutoka Spika wa Bunge la Kenya Mhe Justin Muturi.
   Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job Ndugai  (wa pili kushoto) akisikiliza maelezo kuhusu Bunge la Kenya linavyofanya kazi kutoka kwa Spika wa Bunge hilo Mhe Justin Muturi.Mhe Ndugai yuko katika ziara ya kibunge nchini Kenya kwa mwaliko Bunge la Kenya ambapo amembatana na wajumbe wa Tume ya Utumishi ya Bunge, Mhe Mary Chatanda, Mhe Salim Turky na Mhe Mch.Peter Msigwa.

  (Picha na Ofisi ya Bunge)
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: SPIKA MHE. JOB NDUGAI ATEMBELEA BUNGE LA KENYA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top