728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, May 3, 2017

  SERIKALI YAWAPOKEA WATAALAM WATANO WA KUJITOLEA KUTOKA JAPANI WALIOKUJA KUTOA HUDUMA NCHINI

  Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bi. Susan Mlawi akizungumza na Wataalam wa kujitolea kutoka Japani waliokuja kutoa huduma nchini wakati wa hafla fupi ya kuwakaribisha Wataalam hao iliyofanyika Ofisi ya Rais-Utumishi leo.
  Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bi. Susan Mlawi akiwa katika picha ya pamoja na Wataalam wa kujitolea kutoka Japani waliokuja kutoa huduma nchini.
  Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bi. Susan Mlawi akizungumza na Mwakilishi Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo Japani (JICA) nchini, Bw. Toshio Nagase mara baada ya hafla fupi ya kuwakaribisha Wataalam wa kujitolea kutoka Japani waliokuja kutoa huduma nchini.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: SERIKALI YAWAPOKEA WATAALAM WATANO WA KUJITOLEA KUTOKA JAPANI WALIOKUJA KUTOA HUDUMA NCHINI Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top