728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Monday, May 29, 2017

  REHEMA FOUNDATION YAGAWA FUTARI KIJIJI CHA KILOMO BAGAMOYO


  Mwakilishi wa taasisi ya Rehema foundation ,Zuber akigawa chakula kwa ajili ya futari kwa wakazi wa Bagamoyo ikiwa ni sehemu ya msaada uliotolewa na taasisi yao kutoka kwa wanancha mbali mbali wa nchi ya Uturuki kwa kipindi hiki cha Ramadhani
  Mwenyekiti wa Taasisi ya Rehema ,Mustafa Diriel akigawa mifuko ya futari kwa wasiojiweza na wazee wa kijiji cha Kilomo Bagamoyo Pwani.Chakula hicho kimechangishwa na watu mbali mbali katika inchi ya Uturuki
  Mohamedd akimpatia mzee Miraji fuko lake la futari katika kipindi hiki cha mwezi Mtukufu wa Ramadhani
  Wafanyakazi wa taasisi ya Rehema Foundationi wakigawa mifuko ya chakula
  Mbunge wa Bagamoyo akiwa na timu mzima ya Taasisi ya Rehema na wakazi wa kilomo baada ya kupewa msaada huo.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: REHEMA FOUNDATION YAGAWA FUTARI KIJIJI CHA KILOMO BAGAMOYO Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top