728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Tuesday, May 16, 2017

  RAIS DKT. MAGUFULI ATEMBELEA SHIRIKA LA UTANGAZAJI LA TAIFA - TBC

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe wakati alipowasili Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) kuangalia uendeshaji wake na kuongea na watumishi leo. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa TBC Dkt Ayoub Rioba.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akioneshwa sehemu mbalimbali za studio za Redio na Televisheni za  Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) alipotembelea leo kuangalia uendeshaji wake na kuongea na watumishi.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika moja ya studio za Televisheni za Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) na mtangazaji Bi. Asha Haji alipotembelea leo kuangalia uendeshaji wake na kuongea na watumishi.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na watumishi Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) alipotembelea leo kuangalia uendeshaji wake na kuongea na watumishi.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na watumishi wa Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC)  alipotembelea leo kuangalia uendeshaji wake na kuongea na watumishi.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitembezwa maeneo mbalimbali ya Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) alipotembelea leo kuangalia uendeshaji wake na kuongea na watumishi. PICHA NA IKULU.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: RAIS DKT. MAGUFULI ATEMBELEA SHIRIKA LA UTANGAZAJI LA TAIFA - TBC Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top