728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Tuesday, May 2, 2017

  RAIS DKT. MAGUFULI AMALIZA ZIARA YAKE YA KIKAZI MKOANI KILIMANJARO NA KUREJEA JIJINI DAR

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono na kuwashukuru viongozi mbalimbali wa Serikali, Kidini na Taasisi mbalimbali waliomsindikiza katika katika uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro KIA mara baada ya kumaliza ziara yake ya kikazi ya siku tatu mkoani humo. PICHA NA IKULU.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Said Meck Sadik katika uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro KIA mara baada ya kumaliza ziara yake ya kikazi ya siku tatu mkoani humo.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisindikizwa na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Said Meck Sadik wakati akielekea kupanda ndege katika uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro KIA mara baada ya kumaliza ziara yake ya kikazi ya siku tatu mkoani humo.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: RAIS DKT. MAGUFULI AMALIZA ZIARA YAKE YA KIKAZI MKOANI KILIMANJARO NA KUREJEA JIJINI DAR Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top