728x90 AdSpace

 • Habari za hivi Punde

  Saturday, May 20, 2017

  Rais Dkt. Magufuli akabidhi Uenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa Rais Museveni wa Uganda  Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki anayemaliza muda wake na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda kukalia kiti cha Uenyekiti alipomkabidhi wadhifa huo leo wakati wa Mkutano wa 18 wa Kawaida wa wakuu wa nchi za Jumuiya hiyo katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 20, 2017(Picha na IKULU)
  mem1
  Waziri Mkuu mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba akimpongeza Waziri wa mambo ya Nje na ushirikiano wa Kimataifa na Kikanda Dkt.Augustine Mahiga pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Rwanda Mhe Ali Siwa na Balozi wa Tanzania nchini Kenya Dkt Pindi Chana baada ya mkutano wa 18 wa kawaida wa Jumuiya hiyo katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 20, 2017
  mem2
  Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki aliyemaliza muda wake Rais Dkt John Pombe Magufulna  Naibu Rais wa kenya Mhe. William Ruto wakiongea na Balozi wa Tanzania nchini Kenya Dkt Pindi Chana baada ya mkutano wa 18 wa kawaida wa Jumuiya hiyo katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 20, 2017
  mem3
  Waziri Mkuu mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba akimpongeza Waziri wa mambo ya Nje na ushirikiano wa Kimataifa na Kikanda Dkt.Augustine Mahiga pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Rwanda Mhe Ali Siwa na Balozi wa Tanzania nchini Kenya Dkt Pindi Chana baada ya mkutano wa 18 wa kawaida wa Jumuiya hiyo katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 20, 2017
  mem4
  Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki aliyemaliza muda wake Rais Dkt John Pombe Magufuli, Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda, Naibu Rais wa kenya Mhe. William Ruto wakisalimiana  na wanafunzi wa shule za sekondari za nchi mbalimbali walioshiriki mashindano ya Insha baada ya mkutano wa 18 wa kawaida wa Jumuiya hiyo katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 20, 2017
  mem5
  Meza kuu katika picha ya pamoja na wanafunzi wa shule za sekondari za nchi mbalimbali walioshiriki mashindano ya Insha baada ya mkutano wa 18 wa kawaida wa Jumuiya hiyo katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 20, 2017
  mem6
  Meza kuu katika picha ya pamoja na mabalozi wa nchi mbalimbali baada ya mkutano wa 18 wa kawaida wa Jumuiya hiyo katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 20, 2017
  mem7
  Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki aliyemaliza muda wake Rais Dkt John Pombe Magufuli, Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda, Naibu Rais wa kenya Mhe. William Ruto na viongozi wengine wakiwa katika picha ya pamoja baada ya mkutano wa 18 wa kawaida wa Jumuiya hiyo katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 20, 2017
  mem8
  Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki aliyemaliza muda wake Rais Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na wajumbe baada ya kumalizika kwa mkutano wa 18 wa kawaida wa Jumuiya hiyo katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 20, 2017
  mem9

  mem10
  Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki aliyemaliza muda wake Rais Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Gavana wa Benki Kuu Mstaafu Mzee Edwin Mtei aliyekuwa mmoja wa wageni mashuhuri walioalikwa kushuhudia akimmkabidhi Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda kiti cha jumuiya hiyo katika mkutano wa 18 wa kawaida wa Jumuiya hiyo katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 20, 2017
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Rais Dkt. Magufuli akabidhi Uenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa Rais Museveni wa Uganda Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top