728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, May 10, 2017

  PUMA ENERGY YAGAWA FULANA MAALUM KWA BODABODA ZINAZOAKISI MWANGA WIKI YA NENDA KWA USALAMA BARABARANI

   Mratibu  wa Masuala ya Usalama wa Afya, Mazingira na  Udhibiti wa Ubora kutoka Kampuni ya Puma Energy, Rehema Madoffe akimvisha Abubakar Selemani mwanafunzi wa darasa la saba katika Shule ya Msingi Ungindoni iliyopo Kigamboni Dar es Salaam moja ya fulana inayoakisi mwanga ikiwa ni sehemu ya shehena iliyotolewa kwa shule hiyo kwa  ushirikiano na Taasisi ya Amend Tanzania kusaidia kampeni ya kupunguza ajali za barabarani hususani kutetea maisha ya watoto wa shule jana  ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Usalama barabarani ya Umoja wa Mataifa(UN-Global Road Safety Week)
   Ofisa Mipango wa Taaasi ya Amend Tanzania, Neema Swai akigawia fulana maalum zinazoakisi mwanga kwa waendesha bodaboda wa Manispaa ya Kigamboni mkoani Dar es Salaam, jana, ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha wiki ya Usalama barabarani ya Umoja wa Mataifa(UN-Global Road Safety Week)

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: PUMA ENERGY YAGAWA FULANA MAALUM KWA BODABODA ZINAZOAKISI MWANGA WIKI YA NENDA KWA USALAMA BARABARANI Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top