728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Tuesday, May 2, 2017

  POLEPOLEAVUNA WANACHAMA VYUO VIKUU ARUSHA

  Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Vyuo na Vyuo Vikuu katika Mkoa wa Arusha umekuwa na ugeni wa Katibu NEC Itikadi na Uenezi CCM Ndugu Humphrey Polepole ambaye amekuwa Mgeni Rasmi katika Mahafali ya Vijana wa CCM Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa wa Arusha .

  Katika hatua nyingine ndugu Humphrey Polepole ametoa Vyeti kwa Wahitimu 268 na kupokea Wanachama Wapya wa CCM zaidi ya 65 na Kuwapa Kadi za Uanachama na kisha kuwaongoza kula kiapo cha uaminifu ndani ya CCM. Mahafali hay yalihudhuriwa na Wanachama 523.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: POLEPOLEAVUNA WANACHAMA VYUO VIKUU ARUSHA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top