728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Tuesday, May 23, 2017

  OFISI YA CCM MKURANGA YAPOKEA VIFAA KUTOKA KWA MKE WA MBUNGE WA MKURANGA BI MARIAM ABDALLAH

  Mke wa Mbunge wa Mkuranga Bi Mariam Abdallah Kwa niaba ya mume wake Ndugu Abdallah Ulega akikabidhi vifaa vya ofisi,'Photocopy machine' na 'Rim papers' Kwa ajili ya matumizi ya ofisi ya CCM Mkuranga vyenye thamani ya milioni tatu na laki tano, kwa Naibu Katibu Kuu wa CCM,Ndg Rodrick Mpogolo katika ziara yake leo mkoani Pwani.
  Naibu Katibu Kuu wa (CCM),Ndg Rodrick Mpogolo akizungumza na wajumbe wa kamati ya siasa katika ziara yake hapo jana mkoani Pwani.
  Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga,Firbato Sanga akizungumza na wajumbe wa kamati ya siasa katika ziara ya Naibu Katibu Kuu wa CCM,Ndg Rodrick Mpogolo mkoani Pwani.
  Muonekano wa Photocopy machine.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: OFISI YA CCM MKURANGA YAPOKEA VIFAA KUTOKA KWA MKE WA MBUNGE WA MKURANGA BI MARIAM ABDALLAH Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top