728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Thursday, May 18, 2017

  NAIBU KATIBU MKUU CCM BARA, RODRICK MPOGOLO ZIARANI JIMBO LA ILALA, TEMEKE.


  Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara, Rodrick Mpogolo, akizungumza na Wanachama, Viongozi wa CCM wa Jimbo la Ilala wakati akiwa katika ziara yake ya kuimarisha Chama Mkoa wa Dar es Salaam, jana.
  Baadhi ya Wanachama wa CCM Jimbo la Ilala wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu CCM Bara.
  Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara, Rodrick Mpogolo, akiwasili kwenye Ukumbi wa CCM Ilala kwa ajili ya kuzungumza na Wanachama, Viongozi wa CCM wa Jimbo la Ilala wakati akiwa katika ziara yake ya kuimarisha Chama Mkoa wa Dar es Salaam, jana.
  Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara, Rodrick Mpogolo, akizungumza na Wanachama, Viongozi wa CCM wa Jimbo la Ilala wakati akiwa katika ziara yake ya kuimarisha Chama Mkoa wa Dar es Salaam, jana.
  Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara, Rodrick Mpogolo, akizungumza na Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema, wakati akiondoka kwenye Ukumbi wa CCM Ilala baada ya kuzungumza na Wanachama, Viongozi wa CCM. Picha Zote na Muhidin Sufiani (MAFOTO)
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: NAIBU KATIBU MKUU CCM BARA, RODRICK MPOGOLO ZIARANI JIMBO LA ILALA, TEMEKE. Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top