728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Thursday, May 25, 2017

  MAZISHI YA MZEE KITWANA KONDO YAFANYIKA JIONI YA LEO MAKABURI YA TAMBAZA JIJINI DAR

  Baadhi ya Ndugu Jamaa na Marafiki wakiwa wamebeba Jeneza lenye mwili wa aliyewahi kuwa Mbunge wa jimbo la Kigamboni na Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Mzee Kitwana Kondo wakielekea kwenye maziko,leo Alhamisi baada ya swala alasiri katika makaburi ya Tambaza jijini Dar es Salaam.
  Mazishi ya aliyekuwa Meya wa Dar es salaam Mzee Kitwana Kondo jioni hii makaburi ya Tambaza jijini Dar.
  Mwili wa Marehemu Mzee Kitwana Kondo ukiingizwa msikitini kwa ajili ya kuswaliwa tayari kwa mazishi jioni ya leo ,katika Makaburi ya tambaza,jijini Dar.
  Ndugu jamaa na marafiki wakiwa Makaburi wakisubiri kuupokea mwili wa Marehemu kwa ajili ya Maziko katika Makaburi ya Tambaza,jijini Dar 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MAZISHI YA MZEE KITWANA KONDO YAFANYIKA JIONI YA LEO MAKABURI YA TAMBAZA JIJINI DAR Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top