728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, May 3, 2017

  MKUU WA MKOA WA RUVUMA AWAPA MAKAVU WANAOBEZA MAENDELEO YANAYOLETWA NA SERIKALI

  Mkuu wa mkoa wa Ruvuma dkt bilinithi mahenge ashangazwa na baadhi ya watu wachache ambao wanatabia ya kubeza maendeleo yanayofanywa na serikali kana kwamba kama hayana umuhimu katika jamii,kauli hii ameitoa mara baada ya uzinduzi wandege mkoa Ruvuma ambapo shirika la ndege Tanzania ATCL limeanza kutoa huduma zake toka SONGEA HADI DAR ES SALAAM
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MKUU WA MKOA WA RUVUMA AWAPA MAKAVU WANAOBEZA MAENDELEO YANAYOLETWA NA SERIKALI Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top