728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Saturday, May 6, 2017

  MKUTANO WA UMOJA WA WATANZANIA UJERUMANI JUMAMOSI 13.05.2017. ESSEN


  Umoja wa Watanzania Ujerumani UTU e.V unapenda kuwaalika watanzania wote wanaoishi Ujerumani (TANZANIA DIASPORA) kwenye mkutano mkuu wa umoja wetu 2017. Mkutano wetu mkuu utafanyika Siku ya Jumamosi, terehe 13.05.17 saa 13:00 Mchana  katika Address ifuatayo:
  Bob's Cafe,
  Altendorfer Straße 375
  45143 Essen
  Ili kufanikisha mkutano wetu tunawaomba Watanzania kufika kwa wingi mno, mkutano huu ni muhimu sana kwani  kuhudhuria kwenu ndio mafanikio ya umoja wetu na mafanikio yako wewe mtanzania unayeishi hapa ujerumani . Umoja wa Tanzania Ujerumani ( UTUe.V) ‘’Ndio mwavuli  na Sauti ya Watanzania Ujerumani’’
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MKUTANO WA UMOJA WA WATANZANIA UJERUMANI JUMAMOSI 13.05.2017. ESSEN Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top