728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Friday, May 12, 2017

  Mbunge Prof Maji Marefu ashiriki kuokoa wananchi wake huko Korogwe kufuatia mvua kubwa kunyesha

    Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini, Steven Ngonyani maarufu kama Prof Maji Marefu akitoa msaada wa kuwaokoa wananchi wa Jimbo lake kwenye mafuriko yaliyotokana na mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mengi ya Mji wa Korogwe na maeneo mengine mengi ya nchi.
  Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini, Steven Ngonyani akijadiliana jambo na baadhi ya wananchi wake.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Mbunge Prof Maji Marefu ashiriki kuokoa wananchi wake huko Korogwe kufuatia mvua kubwa kunyesha Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top