728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Thursday, May 18, 2017

  MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 28, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MAY 18, 2017.   Naibu Spika  wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dk.Tulia Ackson  akiongoza    kikao cha Ishirini na nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 18, 2017.
  8950-Mhagama na Makamba
   Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na Watu wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama akizungumza jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano Mhe.January Makamba   katika kikao cha Ishirini na nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 18, 2017.
  8987-Mhe.Kijaji
   Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.Dk.Ashatu Kijaji akifafanua jambo katika  kikao cha Ishirini na nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 18, 2017.
  8994-Mhe.Makamba
  Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano Mhe.January Makamba akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika  kikao cha Ishirini na nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 18, 2017.
  9004-Naibu Waziri wa Habari
  Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Anastazia Wambura akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika  kikao cha Ishirini na nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 18, 2017.
  9090-Mhe.Manyanya
  Naibu Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia Mhe.Eng.Stella Manyanya akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika  kikao cha Ishirini na nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 18, 2017.
  9046-Mhe.Mwakyembe
  Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Dk Harrison Mwakyembe akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika  kikao cha Ishirini na nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 18, 2017.
  9110-Waziri Mwakyembe na Naibu Waziri
  Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Dk Harrison Mwakyembe akizungumza jambo na Naibu wake Mhe.Anastazia Wambura  katika  kikao cha Ishirini na nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 18, 2017.
  9234-Mhe.Kigwangala
   Naibu Waziri wa Afya ,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika  kikao cha Ishirini na nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 18, 2017.

  Picha Zote na Daudi Manongi- Dodoma MAELEZO, DODOMA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 28, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MAY 18, 2017. Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top