728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Monday, May 22, 2017

  MANGULA AKUTANA NA MKURUGENZI WA TAASISI YA KIMAREKANI INAYOSHUGHULIKIA MASUALA YA DEMOKRASIA DUNIANI

  Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara Phili Mangula akikmkaribisha Mkurugenzi wa Tasisi ya Kimarekani inayoshughulikia masuala ya Demokrasia Duniani (NDI), Kanda ya Mashariki na Kusini Mwa Afrika, Dk. Keith Jennings, kwa ajili ya mazungumzo, Ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo. Kushoto ni Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MANGULA AKUTANA NA MKURUGENZI WA TAASISI YA KIMAREKANI INAYOSHUGHULIKIA MASUALA YA DEMOKRASIA DUNIANI Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top