728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Tuesday, May 2, 2017

  KONGAMANO LA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI DUNIANI, KITAIFA JIJINI MWANZA


  Fuatilia yaliyojiri kwenye Kongamano la Wanataaluma na Wadau wa Habari kuelekea Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani 2017, lililofanyika kitaifa Jijini Mwanza.

  Kilele cha Maadhimisho hayo ni kesho Mei 03,2017 ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli.
  #BMGhabari

  Tazama hapa picha
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: KONGAMANO LA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI DUNIANI, KITAIFA JIJINI MWANZA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top